custom-registration-form-builder-with-submission-manager
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/licocotz/public_html/wp-includes/functions.php on line 6121forminator
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/licocotz/public_html/wp-includes/functions.php on line 6121One Ecosystem ni kampuni ya kimataifa inayotoa elimu ya kidijitali. One ecosystem imesajiriwa nchini Uswisi na ofisi zake zinapatikana\u00a0 katika mji wa Sofia, Bulgaria.\u00a0\u00a0Biashara ya kampuni hii huzingatia kutoa elimu na maarifa\u00a0 kupitia mauzo ya moduli za elimu juu ya\u00a0 mada mbalimbali. Bei za moduli hizi ni kulingana na viwango mbalimbali. Bidhaa hizi\u00a0 zinauzwa kupitia mtandao wa kimataifa kwa watu duniani kote. Biashara ya kampuni inajulikana kama biashara ya masoko ya mtandao.<\/p>\n\n\n\n
Kwa kununua moduli ya elimu, mwanachama (Wakala wa Masoko Binafsi\/ IMA) hupokea zawadi kutoka kwa Kampuni kwa njia ya alama (tokens), ambazo humpa haki ya kushiriki katika vikundi vya kuchimba na kubadilisha alama hizo kuwa ONEs (sarafu ya kidijitali). Kila IMA anaweza kutumia ONEs zake kama njia ya malipo ndani ya\u00a0 One Ecosystem hususani katika\u00a0 kununua bidhaa na huduma kutoka\u00a0 katika jukwaa la biashara la One Ecosystem liitwalo Deal Shaker.<\/p>\n\n\n\n
Uanachama wa One Ecosystem (OES) unapatikana kwa kusajiliwa na mwanachama ambaye tayari ana uanachama wa One Ecosystem. Vile vile unaweza kuwasiliana na ofisi yetu ili kupata msaada wa usajili kupitia barua pepe info@lico.or.tz<\/a> au kwa WhatsApp +255745737012. Baada ya kukusajili, utatumiwa barua pepe yenye maelekezo ya kuingia kwenye mfumo. Utatumia username na password ulizotumiwa kuingia kwenye mfumo na kuhakikiwa kama maelezo yanayofuata yanavyoelekeza. Fuatana nami katika uzi huu<\/strong><\/em><\/p>\n\n\n\n