Mkutano Mkubwa wa Dealshaker

Hivi karibuni kumekuwepo na mkutano mkubwa wa One Ecosystem (OES) nchini Hong Kong. Mkutano huu (Mega Expo) umewaleta pamoja watu kutoka maeneo mbalimbali ya dunia, ili kujifunza jinsi Deal Shaker inavyofanya kazi. Vile vile mkutano huu umewawezesha wauzaji kuonyesha bidhaa mbalimbali wanazouza kwa ONE. Na bidhaa zote katika mkutano huu ziliuzwa kwa 100% ONE. Pia mfanyabiashara na mwwekezaji mkubwa sana Duniani Mr. Jim Rogers alihudhulia mkutano huo na kutoa mafunzo juu ya uwekezaji sahihi katika teknolojia.

Wahudhuriaji wakifuatilia kwa makini mada zilizowasilishwa
Mkutano ulihudhuriwa na maelf ya watu kutoka duniani kote
Tags :

Promotion

Share This :

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *